Ni jambo kua kusikitisha afu kibaya zaidi kila jambo serikali inaingiza siasa wakati wanachi wanaendelelea kuumia.
Mimi ninavyo ona kama hawata jirekebisha ipo siku wataikuta hii nchi ikiwa katika maandamano ambayo mwisho wake ni mbaya.

na simaandamano ambayo mwisho wake kuwa mbaya tu bali yatapelekea hata watu wakaribu kama mke na mume au baba na mama au wazazi na watoto kutengana.inabidi hali hii ifanyiwe utaratibu mapema kabla Tanzania kisiwa cha amani hakijachafuka na kuwa kisiwa cha vita
ReplyDeleteTatizo bado hao waliokaa hawaoni kuwa wengine wamesimama, hawatambui kuwa kumpa mjinga elimu akatambua haki zake ni hatari kwao, we waache watayaona wakiwa wakumbwa

ReplyDelete