WAFUMANIWA HUKU SEHEMU ZA SIRI ZIKIWA ZIMENG'ANG'ANIANA

Ule usemi uliotolewa na wahenga wa "mke wa mtu ni sumu" umeonekana dhahiri baada ya jamaa mmoja hapo kwa majirani zetu yaani nchini Kenya kufumaniwa akivunja ile inayosemekana kuwa ni amri ya sita na mwanamke asiyekuwa wake (mke wa mtu). Kisa hicho kimemkuta jamaa huyo ambapo ilimbidi awapigie simu marafiki zake waje wamsaidi kuunasua uume wake kwa bidada huyo, hata hivyo kabla ya marafiki zake kufika, mwenye mke alifanikiwa kufika eleo la fumanizi ambapo aliwaita watu kuona kile kilichokuwa kimetoke kwa jamaa huyo na mke wake. 

Hata hivyo jamaa mwenye mke amesema alitaka iwe fundisho kwa wale wote wenye tabia za kudokoa wake za wenzio na kuwaonya kuwa kitendo hicho ni hatari kwa maisha yao wenyewe, pia ametoa wosia kwao kuwa ni bora kuoa wanawake wengi ambao watamaliza haja zako kuliko kuchezea mke wa mtu

Duh! amakweli mke wa mtu ni sumu waka usijaribu chombeza

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.