Hii ni aina moja tu ya kondom za kiume, maarufu kama Salama Kondom, zipo njingine kibao kama vile Dume, family na nyinginezo, pia hata za wanawake na kinadada zipo, nawewe dada unapokwenda kwa my 'Y' chukua pakiti yako then you go to...., sio mbaya.
No comments
Thank for your coment