AIESEC-UDOM IN CAREER FAIR UDSM


Hawa ni vijana wa AIESEC Chuo kikuu cha Dodoma pamoja na Interns kutoka China na Canad wakiwa katika event ya career fair kwa shirikiano wa AIESEC Tanzania na Makampuni wahisani yapatayo 26 ambapo Tigo Tanzania, African Barick Gold, Twiga Cement, Standerd Charterd Bank, Bank Of Africa, First National Bank, Clouds Media, Cococola, CRDB Bank na mengine mengi yalihudhuria katika event hiyo iliyofanyika tarehe 5 na 6 Mei 2012. Lengo likiwa ni kuweza kuwakutanisha na waajiri vijana wanaotegemea kuhitimu vyuo na hata wale wanaobaki, kuwafungulia mipaka ya ajira na pia kiumarisha umoja miomngoni mwa vijana.

Kauli mbiu ya Career Fair mwaka huu ilikuwa ni "We have Tallent' You have Job" ikiwa inamaanisha kuwa AIESEC inazalisha vijana wenje vipaji mbalimbali na Makampuni yaliyofika ndiyo yenye ajira, hivyo kwa pamoja tutalitatua tatizo la ajira miongoni mwa vijana, hasa wanaohitimu elimu ya juu na kukosa mahali pa kujishikiza.

Ni muda wako sasa wewe ambaye bado unasita kujiunga na AIESEC, tumia nafasi chache ambazo huja kama bahati katika maisha yako 



Ilikuwa si ya kukosa kabisa, kwani ilikuwa ni fuuuuuuuuluu fuuuuunnnnnnyyy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



Mr Abas kulia, Jumanne Tshirt nyekundu, madam Aziza kushoto na rafiki yake hapo kati ndani ya Afican barrick Gold



Waooh!!! huyu hapa ndiye Raisi wa Chapter ya UDOM (LCP) madam Husna Wakili na kitu cha Red-Rose bana, sijui ndo tusemee!!!!! anyway hizo zote ni faida za Career Fair 2012 kunako Chuo Kikuu cha Dar es salaam.



Ouyeah! hapa nipo na interns kutoka China na Canada, hata wao walihudhuria katika Career Fair bana, sijui wewe ulikuwa wapi, hembu jiunge nasi AIESEC ukutane na ulimwengu wa Mabadiliko kuelekea yalipo mafanikio.





Hawa pia ni Product wa AIESEC-UDOM, asikuambie mtu yani AIESECers wa UDOM tulikuwepo woooooooooooote, tena next wikend to Career Fair SAUT-MWANZA, huo ndio mpango mzima, kama vipi we njoo tuu bana Sisi hatubagui, ukija siku moja utahamia kabisaaaaaa!!!!!!!!!!!!.




@Brother George mbona wamuangalia saaaaana huyo bi dada!!!!!! kwani  umeona nini hapo?.......weeeeeeereeeee, it was all about chilling, having stories, exchanging ideas, and many more, I wish if you were there to see for your self.
Congrats to all members who participated in this event, this is the beginning, many more are coming so keep on waiting to see how AIESEC is all about life and experiences

Tchaoooooo!!!!!!!!!

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.