Maandalizi ya mchuwano wa olimpiki 2012

Jiji la London litakuwa mwenyeji wa michuano ya mwaka 2012 ya Olimpiki. Hapa ni kiwanja mojawapo katika maandalizi ya kuelekea michuano hiyo, Pengine miaka kadhaa ijayo yatafayikia Afrika, hivyo nasi tuanze taratibu kuandaa viwanya kama hiki

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.