Filamu iliyoandaliwa na Invisible Childrenn kuelezea maasi yanayofanywa na waasi wa LRA nchini Uganda
Filamu inayoonesha maisha ya wananchi wa Uganda na vitendo wanavyofanyiwa na kikundi cha waasi acha LRA kinachoongozwa na Joseph Kony
Haya ndiyo maisha ya ndugu zetu, tunauomba umoja wa mataifa kuhakikisha kuwa amani inapatikana kwa wananchi wa Uganda kwa nja yoyote na kuhakikisha kuwa KONY anatafutwa na kufikishwa katika mahakama ya makosa ya kivita ya Umoja wa mataifa
No comments
Thank for your coment