Hii ni ndoto ambayo kugeuzwa kuwa kweli inahitaji uthabiti na sio siasa
Huu ni mpango ambao unafanywa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na Marekani yenye lengo la kuubadilisha mji wa Kigamboni kuwa sehemu ya kibiashara kwa kuijenga kama miji iliyopo Ulaya ikiwemo kujenga daraja litakalounganisha mji wa Dar es Salaam na Kigamoni, kujenga miundo mbinu zikiwemo barabara, kandaa maeneo maalumu ya viwanda na kujenga soko kubwa la kimataifa.
Pengine ni kweli, au ni ndoto kama zilivyokuwa zile za abunuasi, sote hatujui............ Tusubiri wakati uamue, .... ila pia tuangalie nini hasa lengo la kujengwa kwa mji huo, manufaa yake kwa wananchi wa nji huo au tutaishia katika kunyang'anywa ardhi na kuukaribisha ukolono ambao tulitumia miaka mingi kuuondoa.
Kama kweli naiwe kweli ilaaaaaaaa!!!!!!!!!!
No comments
Thank for your coment