Tuitunze amani na Ummoja
Rose
Huyu ni moja kati ya wasanii chipukizi nchini Tanzania, ambaye amaonesha uwezo mkubwa kama wasanii wa nchi za nje kama akina Rihnna, na wengineo wengi, amekuwa mfano wa kuigwa na wasanii wengine hasa katika kusisitza swala zima la amani duniani na kuepuka migogoro ambayo imekuwa chanzo cha masumbuko, manyanyaso na mateso kwa watu wengi hasa wale wasio na hatia.

Tungependa wasanii wetu waimbe nyimbo zenye kuelimisha jamii na sio kuimba mapenzi kila siku
No comments
Thank for your coment