Poleni Gongolamboto

Hatuna uhakika na kile kinachoendelea katika nchi hii inayosemekana kuwa ya amani, pengine amani ipo kwa baadhi ya watu wachache.
Kwa kweli kwa yanayotokea sio ya kuyafumbia macho, jitihada za dhati zinahitajika iku kuwaokoa wananchi wasio na sauti, ndugu yatupasa kuamka na kuanza kupigania haki zetu kwa nia na mbinu za kila namna, poleni sana Gongolamboto, tunawaombea Mungu awape amani ya kweli kwani inavyosemekana hii ndiyo nchi ya amani.

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.