I LOVE YOU SISTER.
Sio ajabu kukuambia kuwa nakupenda sana dada yangu, ni kweli kuwa nakupenda na nitakupenda siku zote, jambo uko mbali nami ila siku zote uko ndani ya roho na nafsi yangu, nakuombea kwa Mungu akuzidishie upendo kwa watu wote na kuwajali kama unavyo nijali mimi , uwe na hekima kama Suleimani.
Nakupenda sana. (Amosi Alison) Mkwawa University Iringa.
Nakupenda sana. (Amosi Alison) Mkwawa University Iringa.
No comments
Thank for your coment