Kwa wale wapenda maendeleo naamini kuwa ukiona sura hii lazima uitambue, ni moja kati ya watu maarufu sana duniani, wenye mchango chanya kwa jamii hadi leo hii japo alitutoka miaka mingi iliyopita. Naamini kuwa japo hauko naye kimwili ila mawazo yake adhimu yataishi milele. KARL MAX the great.
No comments
Thank for your coment