Nawapenda sana Watoto
Hakuna kitu cha thamani na cha kujivuni pale unapokuwa uko na mtoto hasa mwanao halafu awe na afya nzuri mchangamfu na mwenye furaha muda wote, Dah! Ni furaha ajabu, siunajua mtoto singuo? Hata kama huna mtoto sio vibaya tukiwapenda watoto na kucheza nao, hilo pia hutupa pia furaha na amani. Tuwapende, tuwalinde, tuwajali, tuwatunze, tusiwanyanyase, tusiwaue wala kuwatumikisha, mama yako angekutupa ungekuwa wapi?!
Niko na wapendwa na marafiki zangu watoto Jordan na Noela Ronald. I love you totooo
Niko na wapendwa na marafiki zangu watoto Jordan na Noela Ronald. I love you totooo
No comments
Thank for your coment