USIWAZE SANA BROO YATAKWISHA

Dunia ni msongamano wa tabu nyingi sana zilizochanganyikana na chembechembe ndogo sana za raha, ambazo hazikawii kuyeyuka. Lakini hata hivyo haupaswi kukata tamaa, tusiwaze sana na kujipa msongo wa mawazo ambao mwishowe ni maradhi, tujipe raha wenyewe coz life is too short. Dont fight against your own feelings brah!
Respect you my brothe (Kikoti Tukio.)

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.