JASIRI HAACHI ASILI

Hili ni moja kati ya makabila machache yalibaki na yenye nguvu duniani, wanaheshimu mila na desturi zao japo kuna baadhi wameshaingia katika ulimwengu wa utandawazi.
Ni bora kubakia kwako kuliko kwenda kwa jirani halafu upotee njia na usifike mbaya zaidi njia ya kurudia pia usiikumbuke utatamani leo iwe jana.
Heri yao waliotulizana makwao kwani baraka ni zao.
Hebu na sisi turudie mila na tamaduni zetu jamani, waswahili husemaaa! Nguo ya kuazima....... Au pia cha mtu...... Wakatilia mkazo kuwa mcheza kwao hutunza. Je u wapi wewe?! Tafakari, chukua hatua.

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.