TUKIAMUA TUNAWEZA!!!

Nyumba ya mkazi mmoja Dodoma mjini ambaye kazi yake ni kukaanga chipsi tu

Hii ni nyumba ya bwana mmoja hivi ambaye kazi yake kuu ni kuuza CHIPSI tu katika mji wa Dodoma!!....... Amakweli kila kitu ni mipango na nia, tukiamua tunaweza, jiwekee malengo, jitihada na nia, kilakitu kinawezekana.

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.