HAPPY BIRTH DAY MANDELA


Nelson Mandela Raisi wa kwanza wa Afrika ya Kusini

Raisi wa kwanza wa Afrika ya Kusini NELSON MANDELA arudi katka kijiji alicho zaliwa huko Johannesburg ili kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake ambapo siku ya Jumatatu Tarehe 18, July atakuwa atatimiza umri wa miaka 93 tangu kuzaliwa.



Huyu ni Raisi ambaye aliikomboa Afrika ya kusini kutoka katika mikono ya makaburu wa kizungu mnamo mwaka 1994, pia alipambana hadi kukomesha ubaguzi wa rangi nchini humo.



Sio rahisi kusahaulika katika vichwa vya waafrika kutokana na mchango wake mkubwa katika kulikomboa bara hili na kazi ya kuhimiza umoja, upendo na mshikamano miongoni mwa Waafrika wote.

 Mungu ampe maisha marefu na yenye baraka na amani.

Tunakupenda sana








Daraja la Mandelela ambalo liko katk mji wa Johannesburg

Kwa pamoja tushirikiane na tumtakie BIRTH DAY njema kwa kudumisha yale yote ambayo amekuwa akiyasisitiza likiwemo kupiga vita ubaguzi, kudumisha umoja amani, upendo na mshikamano miongoni mwa waafrika kwa kufanya kazi kwa bidii na kupinga kuingiliwa kwa nchi za kiafrika na mataifa ya magharibi
.

2 comments:

  1. So - I wish Him all the best!
    Heartly greetings from Poland, Europe.

    ReplyDelete
  2. Thanks friend lest us together pray for our Legendy and freedom fighter

    ReplyDelete

Thank for your coment

Powered by Blogger.