Ajali ya Basi yaua watu 28 Switzeland
Bali ambalo lilipata ajali na kuua watu 28 |
Watoto hao wote wanatoka katika nchi ya Ubeligiji katka vijiji vya Lommel na Heverlee walikuwa wanarejea nyubani kutoka katika safari ya kimasomo.
Taarifa zinaonesha kuwa basi hilo lilikuwa limebeba watu 52 wengi wao wakiwa ni wanafunzi.
Ajali hiyo imetokea usiku wa Jumanne tarehe13 March, 2012 baada ya basi hilo kugonga ukuta wa baraba ya chini ya ardhi, pia katika ajali hiyo madereva wote walifariki dunia wakati majeruhi walipelekwa katika Hospitali ya Lausanne Berne na wengine katika mji wa Uswiss
Hapa ni katika harakati za kuliondoa basi hili katika eneo la ajali
I didn't know that You write blog again - You had big gap between posts. I heard much about this accident in Switzerland - there died one Polish child. Greetings for You!
ReplyDeleteHello my friend, its true that I was little quiet, this was due to some reasons, but now am back once again and I hope that we will be together all the time. BE Blessed a lot
ReplyDelete