I AM VERY SORRY MAY BELOVED BLOG FANS

Kimepita kipindi kirefu toka nilivyo pablishi  kwa mara ya mwisho katika  blogu hii, hii ni kutokana tu na baadhi ya matatizo ambayo nimekuwa nikikumbana nayo, pamoja na  kuwa bize sana na shule kiasi cha kushindwa kuwa karibu na blogu hii, ila kwa sasa nimerudi tena na nina mpango madhubuti wa kuwaletea mambo mbalimbali na nazuri hivyo wapendwa na wapenzi wa blogu hii ninawaomba kujiandaa kupata vitu vingi na tofauti.


Pia ninawaomba radhi wapenzi wangu kwa kutoweka ghafla bila ya taarifa yoyote, hili ni kutokana na muingiliano wa mambo na majukumu, na ni matumaini yangu kuwa mtakuwa mmenielewa na kunikubalia ombi langu, asanteni sana na katibuni tena kwa mara nyingine.

No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.