"HAPPY BIRTH DAY OUR BELOVED MOTHER"

Huyu ni mama yetu Mwl; NOELA MARIETHA ambaye kupitia kwake tumeweza kuuona ulimwengu, siku ya leo ni siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza miaka 54


Mungu akubari na akuzidishie maisha marefu, upendo na ukarimu kwa watu wote


Kwa pamoja sisi wanao, Goodluck Bernard, Regan Bernard, Ronald Bernard, Finland Bernard, Walter Bernard, Hilary Bernard, na Nicolaus Bernard, Hatuna cha kukulipa ila tunakuombea maisha marefu


TUNAKUPENDA MAMA

1 comment:

  1. I wish all the best for Your Mother! :) I wish her only good days in this new year of her life.

    ReplyDelete

Thank for your coment

Powered by Blogger.