TMUN 2012 kufanyika mjini Dodoma

Ni mkutano wa Vijana wa UN tanzania ambao walikutana kwa lengo la kujadili na kupata maadhimio ya nini kifanyike ili kufikia maendeleo endelevu, mkutano huo ulifanyikia katika ukumbi wa zamani wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania alimaarufu kama ukumbi wa Pius Msekwa. Mkutano huo ulifunguliwa na naibu spika wa bunge Mh. Job Ndugai.

Mkutano huo ulifanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 31 March hadi 2 April 2012 mabampo vijana hao wali toa baadhi ya maadhimio ya nini kifanyike ili kuhakikisha nchi zinazoendelea ziweze kufikia maendeleo lakini yasiyokuwa na athari katikamazingira.

Baada ya mkutano huo vijana hao walifanya uchaguzi kuwachagua viongozi wapia baada yua waliokuwepo kumaliza muda wao wa mwaka mmoja wa uogozi.
Mkutano ulikuwa na agenda juu ya maendeleo endelevu kama inavoonekana hapo


No comments

Thank for your coment

Powered by Blogger.